Blog

Restoration Service V4 Swahili
Posted by admin, July 6, 2022

Urejeshaji wa huduma kwa wateja walio fungiwa  kwa kutofanya marejesho ya mikopo yao kwa wakati 

Salamu, Wateja wa L-PESA

Urejeshwaji wa Huduma ya L-PESA ni huduma mpya inayotolewa kwa wateja waliofungiwa huduma, ambao walipoteza uwezo wa kukopa zaidi ya mwaka mmoja uliopita kwasababu ya matatizo kwenye urejeshaji wa mikopo hiyo.

Faida utakazo zipata:

  1. punguzo la 50% kwa kiasi kinacho daiwa
  2. kuondolewa kwenye orodha ya wateja waliofungiwa huduma
  3. kurejelezwa kwa akaunti yako ya L-PESA na kupata nafasi kamili ya kuitumia tena 
  4. Fursa ya kujenga upya alama za mkopo
  5. upatikanaji wa huduma ya kifedha mahali popote ulipo na wakati wowote

Jinsi unaweza kujenga upya alama yako ya mkopo

  1. kamilisha  wasifu wako 
  2. kamilisha taarifa zako
  3. omba mkopo mdogo na rejesha kwa wakati

 Kwa wateja wenye akaunti zilizo fungiwa  chini ya mwaka mmoja, huduma ya urejeshwaji wa akaunti zao hautapatikana kwao. 

 Urejeshwaji ya akaunti yako ya L-PESA ni fursa nzuri kwako, Tafadhali tutumie ujumbe kupitia barua pepe info@l-pesa.com ili kurejesha akaunti yako ya L-PESA na timu yetu itakusaidia kwa haraka iwezekanavyo

Tafadhali ingia kwenye akaunti yako ya L-PESA kupitia simu janja yako: 

https://bit.ly/3kTTXfr

pakua na ingia kwenye akaunti ya L-PESA kupitia App yetu mpya kupitia linki hii:

http://bit.ly/2L24k08