Blog

l-pesa_728x90
Posted by admin, April 20, 2017

How to make repayments through Vodacom M-Pesa in Tanzania

How to make repayments through Vodacom M-Pesa in Tanzania

Dial *150*00#, a menu will display, select #4 (Pay Through M-Pesa) and send. On the next menu, select #4 (Enter Company Number), here you will enter L-Pesa number which is 259797 and send; then enter reference number (your loan number is the reference number); thereafter, add amount and complete transaction by entering your M-Pesa PIN and confirm.

JINSI YA KUFANYA MAREJESHO KUPITIA VODACOM M-PESA

Piga *150*00#, orodha itafunguka, chagua #4 (Lipa kwa M-Pesa) kisha tuma. Kwenye orodha inayofuata, chagua #4 (Weka nambari ya Kampuni), hapa utaweka namba ya L-Pesa ambayo ni 259797 kisha tuma. Baada ya hapo, weka nambari ya kumbukumbu (nambari rejea ya mkopo wako ndiyo nambari ya kumbukumbu),halafu, weka kiasi unacholipa na kamilisha muamala kwa kuweka namba yako ya siri ya M-Pesa halafu thibitisha muamala.

3 thoughts on “How to make repayments through Vodacom M-Pesa in Tanzania”

  1. Nahitaji kujiunga na hii l-pesa ina nashindwa naomba msaada wenu namba yangu ya simu ni 0766938179 yaani nimejaribu sana sijafanikiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *